Nyota Kung'aa

https://i0.wp.com/www.awesomestories.com/images/user/65e38ed5d5.jpg?resize=1012%2C635&ssl=1“Anga linatosha kwa kila NYOTA KUNG’AA. Nyota huwa hazishindani au kugombania nafasi ya kudhihirisha utukufu zilizobeba. Ukiona mtu ana wivu au anajaribu kushindana na mwingine au anajaribu kumchafua au kumzima, ujue huyo si NYOTA bali ni GIZA TOTORO. Nyota huheshimu nyota nyingine. Nyota hujiamini na kukaa kwenye eneo lake na kutoa nuru bila kuingilia mipaka na eneo la wenzake. Ukishajua wewe ni nyota haupotezi muda kushindana na wengine wanaofanya unachofanya, Unawekeza muda kufanya kwa ubora kile ulichoitiwa. Halafu duniani itatambua uwepo wako. Everyone is unique and special, trying to be somebody or quenching somebody’s fire doesn’t make your fire burn more. Keep adding firewoods to your own fire and enjoy life. Dunia inatutosha wote kufanya vitu vya kuacha alama. Hakuna haja ya mashindano au kufunikana. Cheza namba yako vizuri halafu subiri mchezaji bora wa mechi atangazwe”
(Wafilipi 2:1-3).

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

KWA WAOAJI TU

“Ni Hekima Ya Mungu Kumpa Mwanadamu MALIGHAFI [Raw Materials] Ili Yeye [Mwanadamu] Afanye Sehemu Yake KUZIFANYA KUWA BIDHAA HALISI [Products]… Mungu Anakupa MTI Na Ni

Read More »

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »