Ogopa Kutokufanya kitu

https://scontent-cdg2-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/16142632_1212571085445724_8638986319816339448_n.jpg?oh=ca51d38502b773f027e495db96d13ecc&oe=5920EE7F“Aliyefanya kitu akashindwa amefanikiwa sana kuliko mpumbavu ambaye hakufanya kitu na anaonekana smart kwa sababu hana kovu la kushindwa. Kufanya na kushindwa ni njia mojawapo ya kujua njia ipi si sahihi katika kufanya jambo husika. Usiogope kushindwa, OGOPA KUTOFANYA KITU…”

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »