KWENYE DHORUBA

Dhoruba

Kwenye Dhoruba Na Tufani Si Mahali Pa Kutumia Akili Na Mbinu Zako Za Kibinadamu Kujinasua… Ile Kwamba Umo Kwenye Dhoruba Au Tufani Ni Ushahidi Kwamba Hukujua Nini Kiko Mbele Yako Na Tayari Uko Mahali Pa Utata… Kujaribu Kutumia Akili Na Mbinu Za Kibinadamu Kujinasua Ni Kutaka KUJIZAMISHA ZAIDI.
Kama Unadhani Natania, Kawaulize Wanafunzi Wa Yesu; WALIMWACHA YESU ALALE, WAKAJIONGOZA WENYEWE (BILA MAELEKEZO YA YESU) NA KATIKATI YA BAHARI WAKAKUTANA NA DHORUBA, TUFANI IKAKIPIGA CHOMBO; WAKAJARIBU MBINU ZOTE ZA KIVUVI [WAKACHOTA MAJI NA KUTUPA BAADHI YA MIZIGO ILI KUPUNGUZA UZITO] LAKINI “KANUNI HIZI ZA KIBINADAMU HAZIKUFANYA KAZI” MPAKA PALE “WALIPOJUA KWAMBA WAMEKOSEA” KISHA “WAKAMTUMA PETRO” AENDE “KUWAAMSHIA YESU WALIYEMUACHA ALALE WAKATI WANAJUA WANA SAFARI WANAYOHITAJI UWEPO WAKE”
Dawa Ya Dhoruba Si Akili Na Misuli Ya Kibinadamu, Si Elimu Wala Sayansi; Dawa Ya Dhoruba Ni Kumwitia Yesu!
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza

Read More »

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »