Njoo Tumtumikie Mungu Pamoja Katika Kizazi Chetu

Mtumikie mungu

(KAMA UMEOKOKA TAFADHALI SOMA UJUMBE HUU WA MUHIMU).
Nimemwomba BWANA “HEKIMA” Ya Kujua “YUPI NI SAHIHI NA SI SAHIHI” Katika Maono Niliyonayo Ya “KUWALETA WENGI KWA YESU” Na “KUWALEA HADI WAFIKIE HATUA YA KUVUNA WENGINE”
Kama Una Mzigo Wa Dhati Toka Moyoni Mwako, Wa Kuhakikisha Watu Wasiomjua Yesu Wanazisikia Habari Njema Za WOKOVU, Na Kisha Wale Watakaokuwa WANAOKOKA Wanapata MADARASA YA NENO SAHIHI LA MUNGU Kuhusu;
1.NAMNA YA KUISHI MAISHA MATAKATIFU BAADA YA KUOKOKA
2.NAMNA YA KUTUNZA IMANI NA KUISIMAMIA
3.KULITAMBUA KUSUDI LA MUNGU MAISHANI MWAKO NA KULITUMIKIA
4.KANUNI ZA KIBIBLIA ZA KUWA NA UCHUMI MZURI KWA AJILI YAKO NA KWA AJILI YA KUITEGEMEZA KAZI YA MUNGU
5.SEMINA MAALUMU KWA VIJANA NA CHANGAMOTO ZAO
6.SEMINA ZA AKINA MAMA NA AKINA BABA KUHUSU NAMNA YA KUISHI KWENYE NDOA KWA USHINDI KWA MUJIBU WA NENO LA MUNGU
7.NAMNA YA KUWA MZAZI BORA NA KUMLEA MWANAO KATIKA NJIA SAHIHI WAKATI HUU WA CHANGAMOTO ZA AINA MBALIMBALI
8.NAMNA YA KUMTUMIKIA MUNGU KWA KUSIMAMIA NA KUKAA KATIKA KUSUDI LAKE [MAALUMU KWA WATUMISHI WA MADHABAHUNI]
9.NAMNA YA KUMTUMIKIA MUNGU KWA KUSIMAMIA NA KUKAA KATIKA KUSUDI LAKE [MAALUMU KWA WALIOKO KWENYE AJIRA, WALIOJIAJIRI NAKADHALIKA]
Yote Haya Yatakuwa Yakifanyika Ndani Ya Huduma Hii Ya Pamoja, Ya Watu Waliookoka Toka Madhehebu Mbalimbali Ili Kwa Pamoja Tuujenge Mwili Wa Kristo!
Kwa Hiyo Tutahitaji Watu Walio Tayari Ku-Support Injili Kwa Mali Zao, Kwa Muda Wao Na Kwa Namna Yoyote Ile Mtu Awezavyo!
Tutawahitaji Wainjilisti (Wahubiri), Waalimu, Wachungaji, Mitume Na Manabii Kote Tanzania (Kwa Kuanzia) Na Nje Ya Nchi Baada Ya Kujiimarisha Nchini Kwetu!
Kama Una Mzigo Wa KUONA BENDERA YA YESU INAPEPEA KOTE TANZANIA NA NJE, Watu Wanaokolewa, Walioko Kanisani Wana Wanajengwa, Wanaimarishwa Na Kurudi Katika “NAFASI ZAO”…Basi Tafadhali Wasiliana Nami Mara Tu Baada Ya Kusoma Ujumbe Huu, Ubarikiwe Kwa Kufanya Uamuzi Sahihi Wa Kumtumikia Mungu Katika Kizazi Chako!
Mawasiliano;
0655 466 675
0753 466 675
dicoka@rocketmail.com (email)

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »