MOJAWAPO YA SABABU ZILIZONIFANYA NIKAZANE KUWA BORA- 02
“FURSA NI NYINGI MNO KWA WATU AMBAO NI BORA KWENYE WANACHOFANYA” NILIGUNDUA, HAKUNA UHABA WA FURSA, HAKUNA UHABA WA MILANGO YA MAFANIKIO! NILIGUNDUA HAKUNA UHABA
“FURSA NI NYINGI MNO KWA WATU AMBAO NI BORA KWENYE WANACHOFANYA” NILIGUNDUA, HAKUNA UHABA WA FURSA, HAKUNA UHABA WA MILANGO YA MAFANIKIO! NILIGUNDUA HAKUNA UHABA
“SIKUONA HESHIMA WANAYOPEWA WATU WA “JUMLA” NILIONA WANAOPEWA HESHIMA NI WALIOFANIKIWA KUFANYA VITU VYA PEKEE AU VITU VILEVILE KWA UPEKEE” YAANI NILIGUNDUA, DUNIA HAISHANGILII KILA
NGUVU YA KUUMBA MEMA TOKANA NA MABAYA NA MAGUMU YANAYOTUZUNGUKA (THE POWER TO CREATE GOOD THINGS OUT OF BAD AND TOUGH SITUATIONS AROUND US). Maandiko:
AKILI BORA (EXCELLENT UNDERSTANDING)! “Nimesikia habari zako, kwamba roho ya miungu imo ndani yako, na kwamba nuru na ufahamu NA AKILI BORA ZIMEONEKANA KWAKO” (Danieli
KANUNI YA MUDA/WAKATI (THE PRINCIPLE OF TIME). Utangulizi. Maisha ni muda, na muda ni maisha! Hakuna maisha bila muda, maisha ya mtu au kitu yamefungwa
(Soma vizuri sana ujumbe huu,utapata KWELI ya Kristo YESU ndani yako) 1.UDANGAYIFU (HILA ZA SHETANI) KUPITIA TEKNOLOJIA na MAMBO YA DUNIA HII. Na hapa Inahusisha
YAH: MAJIBU KWA SWALI KAULI ISEMAYO, “KAMA KWELI WATUMISHI NA WALIOOKOKA WANAWEZA KUOMBEA WAGONJWA WAKAPONA, KWANINI WASIENDE MAHOSPITALINI NA KUPONYA WALE WATU WALIOLALA KULE WAKIWA
“Nanyi MTAPOKEA NGUVU AKISHAWAJILIA JUU YENU ROHO MTAKATIFU…” MDO 1:8 1. Hii nguvu HAIJITEGEMEI inaambatana na UWEPO WA ROHO MTAKATIFU, ukiondoa uwepo wa Roho mtakatifu
“Sasa kila MTUMISHI WA MUNGU akiamua KUCOMPROMISE akasema UNAWEZA KUZINI, UNAWEZA KUTOKA NA MME/ MKE WA MTU NA BADO UKAENDA MBINGUNI, sasa nani atakayezungumzia upande
[fbvideo link=”https://web.facebook.com/kabigumilacornel.dick/videos/2301002856602536/” width=”500″ height=”400″ onlyvideo=”1″] TUTAJIFUNZA KUTOKEA 2WAFALME 4:1-7 BIBLIA INA SIRI NYINGI ZA UCHUMI, USIACHE KUTAZAMA, NI SAA YAKO YA KUJAA SIRI ZA UFALME
(MASWALI NA MAJIBU) Na, Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila 1. Je utampataje na kumjua baba yako wa kiroho? Jibu: NI KWA KUANGALIA MAMBO YOTE MATANO NILIYOSEMA
MWANAUME ULIYEOA “UKIAMUA KUTENGA DAKIKA 30 TU KILA SIKU NA MKE WAKO ZA KUONGEA, KUCHEKA, KUTANIANA, KUMSIKILIZA, KUMKUMBATIA KWA UPENDO (HATA KAMA ILISHAKATA AU UMEMZOEA),
KUISHI NJE YA UKANDA WA IBILISI (LIVING BEYOND DEVILS REACH) Ninasikia kuhusu maombi ya vita. Ni maombi maarufu ya kupigana na Ibilisi na majeshi yake.
“Bali Utamkumbuka BWANA, Mungu Wako, MAANA NDIYE AKUPAYE NGUVU ZA KUPATA UTAJIRI…” (Kumbukumbu 8:18). Hapa Tumesoma Ya Kuwa Mungu Anatoa NGUVU ZA KUPATA UTAJIRI, Na
ROHO MTAKATIFU NA UPONYAJI. MAANDIKO: “Habari za Yesu Kristo wa Nazareti, jinsi Mungu alivyompaka mafuta kwa ROHO MTAKATIFU NA NGUVU, akazunguka huku na huko akitenda
“Ni Rahisi Kumkasirikia Mungu Na Hata Kudhani Kwamba HAJAJIBU UNALOMUOMBA Kumbe Tayari AMEJIBU Ila Kwa NAMNA NYINGINE TENA BORA KULIKO Japo Wewe HUJAONA HILO…
1. Je msisitizo mkubwa mahali hapo ni INJILI YA KUGEUZA ROHO ZA WATU TOKA DHAMBINI AU NI KITUO CHA MIRADI, MIPANGO NA HARAMBEE ZA
AINA TATU ZA NGUVU ATOAZO MUNGU KWA MTU ILI AWEZE KUPATA UTAJIRI NA MAFANIKIO “Bali Utamkumbuka BWANA, Mungu Wako, MAANA NDIYE AKUPAYE NGUVU ZA KUPATA
KANUNI YA UKUAJI (THE PRINCIPLE OF GROWTH). Utangulizi Maisha ni hatua, na hatua mojawapo ya muhimu mno na ya lazima kwenye maisha ni ukuaji! Usipokua
Kuna Aina mbili ya muziki, muziki wa kidunia na Muziki wa ufalme wa Mungu. 1 Samweli 16:23 [23]Ikawa, ile roho mbaya kutoka kwa Mungu ilipomjilia
KANUNI YA IMANI (THE PRINCIPLE OF FAITH). Utangulizi Maisha yana kanuni nyingi ambazo Mungu ameziweka ambazo mwanadamu akizitendea kazi, zinaweza kuyarahisisha maisha yake na kuyafanya