UPANDE WANGU WA INJILI NILIOPEWA
“Sasa kila MTUMISHI WA MUNGU akiamua KUCOMPROMISE akasema UNAWEZA KUZINI, UNAWEZA KUTOKA NA MME/ MKE WA MTU NA BADO UKAENDA MBINGUNI, sasa nani atakayezungumzia upande
“Sasa kila MTUMISHI WA MUNGU akiamua KUCOMPROMISE akasema UNAWEZA KUZINI, UNAWEZA KUTOKA NA MME/ MKE WA MTU NA BADO UKAENDA MBINGUNI, sasa nani atakayezungumzia upande
[fbvideo link=”https://web.facebook.com/kabigumilacornel.dick/videos/2301002856602536/” width=”500″ height=”400″ onlyvideo=”1″] TUTAJIFUNZA KUTOKEA 2WAFALME 4:1-7 BIBLIA INA SIRI NYINGI ZA UCHUMI, USIACHE KUTAZAMA, NI SAA YAKO YA KUJAA SIRI ZA UFALME
(MASWALI NA MAJIBU) Na, Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila 1. Je utampataje na kumjua baba yako wa kiroho? Jibu: NI KWA KUANGALIA MAMBO YOTE MATANO NILIYOSEMA
MWANAUME ULIYEOA “UKIAMUA KUTENGA DAKIKA 30 TU KILA SIKU NA MKE WAKO ZA KUONGEA, KUCHEKA, KUTANIANA, KUMSIKILIZA, KUMKUMBATIA KWA UPENDO (HATA KAMA ILISHAKATA AU UMEMZOEA),
KUISHI NJE YA UKANDA WA IBILISI (LIVING BEYOND DEVILS REACH) Ninasikia kuhusu maombi ya vita. Ni maombi maarufu ya kupigana na Ibilisi na majeshi yake.
“Bali Utamkumbuka BWANA, Mungu Wako, MAANA NDIYE AKUPAYE NGUVU ZA KUPATA UTAJIRI…” (Kumbukumbu 8:18). Hapa Tumesoma Ya Kuwa Mungu Anatoa NGUVU ZA KUPATA UTAJIRI, Na
ROHO MTAKATIFU NA UPONYAJI. MAANDIKO: “Habari za Yesu Kristo wa Nazareti, jinsi Mungu alivyompaka mafuta kwa ROHO MTAKATIFU NA NGUVU, akazunguka huku na huko akitenda
“Ni Rahisi Kumkasirikia Mungu Na Hata Kudhani Kwamba HAJAJIBU UNALOMUOMBA Kumbe Tayari AMEJIBU Ila Kwa NAMNA NYINGINE TENA BORA KULIKO Japo Wewe HUJAONA HILO…
1. Je msisitizo mkubwa mahali hapo ni INJILI YA KUGEUZA ROHO ZA WATU TOKA DHAMBINI AU NI KITUO CHA MIRADI, MIPANGO NA HARAMBEE ZA
AINA TATU ZA NGUVU ATOAZO MUNGU KWA MTU ILI AWEZE KUPATA UTAJIRI NA MAFANIKIO “Bali Utamkumbuka BWANA, Mungu Wako, MAANA NDIYE AKUPAYE NGUVU ZA KUPATA
KANUNI YA UKUAJI (THE PRINCIPLE OF GROWTH). Utangulizi Maisha ni hatua, na hatua mojawapo ya muhimu mno na ya lazima kwenye maisha ni ukuaji! Usipokua
Kuna Aina mbili ya muziki, muziki wa kidunia na Muziki wa ufalme wa Mungu. 1 Samweli 16:23 [23]Ikawa, ile roho mbaya kutoka kwa Mungu ilipomjilia
KANUNI YA IMANI (THE PRINCIPLE OF FAITH). Utangulizi Maisha yana kanuni nyingi ambazo Mungu ameziweka ambazo mwanadamu akizitendea kazi, zinaweza kuyarahisisha maisha yake na kuyafanya
NI MAMBO YA MUHIMU KWETU KAMA KANISA KUYAJUA ILI YATULINDE NA UPEPO WA UPOTEVU ULIOPO KATIKA SIKU HIZI ZA MWISHO! [fbvideo link=”https://facebook.com/kabigumilacornel.dick/videos/2273936129309209/” width=”500″ height=”400″
KANUNI YA KUPANDA NA KUVUNA (THE PRINCIPLE OF SOWING AND REAPING). Utangulizi Maisha ni shamba au ardhi ambayo inatawaliwa na kanuni ya kupanda na kuvuna.
Malimbuko Ni sadaka ya KIAGANO Ambayo mtoaji anatoa KIPATO CHAKE CHA KWANZA [Faida kwenye bishara, mshahara wa kwanza, mazao ya kwanza (au hela iliyopatikana kutokana
Uchumi ni eneo nyeti mno kwa kanisa la siku za mwisho, na tatizo kubwa likiwa ni KUTOJUA NINI TUFANYE ILI TUWE NA UCHUMI MZURI KAMA
Uchumi ni eneo nyeti mno kwa kanisa la siku za mwisho, na tatizo kubwa likiwa ni KUTOJUA NINI TUFANYE ILI TUWE NA UCHUMI MZURI KAMA
KANUNI YA ULICHONACHO (THE PRINCIPLE OF WHAT YOU HAVE). Utangulizi Maisha ni mchezo wa kanuni, anayezijua na kuzipatia anaishi maisha ya mafanikio yasiyo na
KANUNI YA KAZI (THE PRINCIPLE OF WORK) Utangulizi Maisha tuliyopewa hapa duniani, yana kanuni nyingi mno. Mojawapo ya kanuni hizo ni kanuni ya kazi. Mungu
*”IMANI YA KUPOKEA MAJIBU YA MAOMBI (FAITH TO RECEIVE ANSWERS FROM PRAYERS)” Ukienda kanisani, kwenye mikutano ya injili au semina, na Mtumishi wa Mungu akasema,