WATUMISHI WA MUNGU

 
https://yesunibwana.files.wordpress.com/2016/01/fb9fe-img_0331.jpg?resize=944%2C629Hawapingi miujiza ila wanawapinga watenda miujiza. Unajua; UKIONA MTU ANAFANYA AMBACHO UNAJUA ULIPASWA KUWA UNAFANYA LAKINI HAUJUI NAMNA YA KUKIFANYA ANAKUCHANGANYA… Upande mmoja unajua naweza kabisa kufanya hiki lakini nakosea wapi? Na bado huelewi… Kinachofuata ni KUANZA KUWASEMA WANAOFANYA ULICHOSHINDWA… Tangu nimepata haka kasiri… Siwashangai WANAOWASEMA WATUMISHI WALIOWAZIDI… Wamechanganyikiwa… Wanajua NENO LINAWARUHUSU KUFANYA HAYO LAKINI WANASHANGAA HAWAFANYI… KInachofuata ni KUPANIC… KAZI YA MUNGU NI NZURI UKIJUA MAMBO KAMA HAYA… Sasa njia rahisi si KUWASEMA… Ni kukubali WAMEKUPITA KWENYE ENEO HILO… Halafu kwa Upendo wafuate KAA CHINI WAKUELEKEZE NAMNA YA KUANZA KUFANYA KAMA WAO…”

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram
Mafundisho
yesunibwana

SEX BEFORE MARRIAGE

#TENDO LA NDOA KABLA YA #NDOA Luka 16:10 [10]Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo

Read More »

KWA WAOAJI TU

“Ni Hekima Ya Mungu Kumpa Mwanadamu MALIGHAFI [Raw Materials] Ili Yeye [Mwanadamu] Afanye Sehemu Yake KUZIFANYA KUWA BIDHAA HALISI [Products]… Mungu Anakupa MTI Na Ni

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SIFA ZA MME BORA

  1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya

Read More »

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »