Kauli za wakiristo

Kati ya kauli wanazotumia Wakristo wengi ni “SHETANI AMEJIINUA mambo yakaharibika nk” lakini Biblia inasema ‘SHETANI YUKO CHINI YA MIGUU YETU’…AKIJIINUA, ANAKUINUA WEWE ZAIDI. Kawaulize YUSUFU, DANIEL na akina SHEDRACK, MESHACK na ABEDNEGO watakwambia!

i want more in jesus

Mwanamke au Mwanaume asiyekuwa na muda wa kutosha na Mungu hawezi kuwa na muda wa kutosha na wewe kwenye MAHUSIANO …Kama akiwa na muda na Mungu atajua kuwa, “UPENDO hautafuti mambo yake wenyewe” …Tofauti na hapo, ni kumlisha chatu unga, akiota meno..??

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SEX BEFORE MARRIAGE

#TENDO LA NDOA KABLA YA #NDOA Luka 16:10 [10]Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »