Mungu wa Mataifa

https://i0.wp.com/cache.desktopnexus.com/thumbseg/163/163189-bigthumbnail.jpg?w=1200“Mungu yuko kwenye program ya kuijaza mbingu kwa watu wa kila taifa, kila kabila, kila rangi, wasomi na wasio na elimu, matajiri na masikini… Jitahidi usikose mbingu maana tayari Yesu alishafia dhambi zako na kulipa gharama ya msamaha wako msalabani… Ni swala la wewe kusogea tu mahali ambapo Injili ya Kweli ya Wokovu inafundishwa na wanaoifundisha wanaiishi, kisha ukayatoa maisha yako kwa Yesu… Mbinguni kuna kadi ya mwaliko wa kuingia huko na kuishi na Yesu milele lakini unapaswa kuipokea kazi ya msalaba na kumruhusu Yesu akuokoe… Dini yako ni nzuri lakini hawana mbingu ya kukuingiza… Dhehebu lako ni zuri lakini halina mbingu ya kukupa, Yesu Kristo tu ndiye Njia pekee”
(Yohana 14:1-2,6 na Ufunuo 5:8-10).
Mwl D.C.K

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

KWA WAOAJI TU

“Ni Hekima Ya Mungu Kumpa Mwanadamu MALIGHAFI [Raw Materials] Ili Yeye [Mwanadamu] Afanye Sehemu Yake KUZIFANYA KUWA BIDHAA HALISI [Products]… Mungu Anakupa MTI Na Ni

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »