“Hivi ikitokea UKAFA LEO watu watakaobaki duniani WATAKUKUMBUKA KWA LIPI? Kazi zako zitaendelea kuishi au UTAZIKWA NA KILA ULICHOBEBA NDANI YAKO? Huwa nawaambia watu, SIOGOPI KUFA NA SIFI KIRAHISI NA KAMA KUKU… UHAI WANGU UMEFICHWA PAMOJA NA UHAI WA KRISTO YESU NDANI YA MUNGU… LAKINI ikitokea MUNGU AMENICHUKUA NA KAJIRIDHISHA KAZI YANGU IMETOSHA… Yeye mwenyewe (Mungu) ATANIPOKEA KISHUJAA AKISEMA KARIBU MTUMWA MWEMA NA MWAMINIFU… Na waliobaki DUNIANI watabaki wakiandika kuhusu MIMI NA YALE AMBAYO MUNGU AMENITUMIA KUFANYA… Sitakufa wala kuondoka na chochote duniani, I WILL DIE EMPTY… Wewe UMEKAA TU UNASEMA MIAKA 5 IJAYO, MIAKA 10 IJAYO TANZANIA ITANIFAHAMU… Ndugu, WAKATI ULIOKUBALIKA NI SASA… MUDA WAKO DUNIANI NI LEO, KESHO SI YAKO… Usipoanza LEO KUACHA ALAMA DUNIANI, tutakuzika na VYOTE ALIVYOWEKEZA MUNGU MAISHANI MWAKO… AMKA, TUMIA MAISHA YAKO KUANDIKA JINA LAKO LITAKALOISHI WEWE UKIMALIZA SAFARI YA MAISHA..”
KILA MWANANDOA MTARAJIWA NA MWANANDOA TAYARI.
Jikumbushe haya kuhusu ndoa: 1. Ndoa ni agano la milele mpaka kifo (ajiandae kwa hilo kiakili, kiufahamu, kihisia na kiroho)! Ukikurupuka kama fashion au kufikiri