Ukisema Maneno chanya (Imani)

maneno chanya

Ukisema MANENO CHANYA NA MANENO YA IMANI: Unamuweka Mungu Na Malaika Zake Kazini Ili Kukusaidia Na Kuthibitisha Hayo Uliyosema.
Ukisema MANENO HASI NA YA MASHAKA: Unampa Ibilisi Nafasi Yeye Na Watenda Kazi Wake Wakumalize Na Kutimiza Kila UHARIBIFU “ULIOTABIRI JUU YAKO KWA KINYWA CHAKO NA IMANI YAKO HASI”
“Tumbo La Mtu Litashiba Matunda Ya Kinywa Chake; Uwezo Wa Mauti Na Uzima Vipo Katika Ulimi Wa Mtu, Nao Waupendao Watakula Matunda Yake” (Mithali 18:20-21).
Mwl D.C.K

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza

Read More »