WAPE WATU FARAJA, LAKINI…

 

Faraja

Wanadamu Wana Maumivu, Vilio Na Matatizo Mengi, Wengi Wanayaonesha Na Kuyakiri Waziwazi Lakini Wachache Wanabaki Nayo Moyoni; Aidha Kwa Vile Wana Imani Kwamba Mungu Ataingilia Kati Na Kuwasaidia Ama Hawapendi Kuwapa Faida Watu Wengine!
LAKINI
Unapomshauri Mtu Au Kumtia Moyo Au Kumpa Faraja, Hakikisha Kwamba Hiyo Faraja Ni Ya KWELI… Kama Haina Ukweli, Hata Akifurahi Kwa Muda, Na Kucheka Kwa Kitambo, Siku Akijua UKWELI HALISI Lazima Atajuta, Ataumia Na Wewe Uliyempa Faraja Ya Uongo UTAKUWA ADUI YAKE NAMBA MOJA!
Iseme Kweli Hata Kama INAUMA Au Haipokelewi, Lakini Mhusika Akija Kujua Kwamba Ulichosema Kilikuwa KWELI HALISI, Atatambua Kwamba Ulikuwa MTU MWEMA Na Hata Asiporudi Kukushukuru Lakini Moyoni Mwake Atajua Kwamba ULIMTAKIA MEMA!!
“INUNUE KWELI WALA USIIUZE…”
“MUNGU ANAPENDEZWA NA KWELI ILIYOKO MOYONI”
“NA HIYO KWELI ITATUWEKA HURU, NASI TUTAKUWA HURU KWELI KWELI”
Salamu Toka Mwanza,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SEX BEFORE MARRIAGE

#TENDO LA NDOA KABLA YA #NDOA Luka 16:10 [10]Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo

Read More »

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »