Formula ya Kimungu

https://i0.wp.com/i.ytimg.com/vi/LDHEGmGxVyM/maxresdefault.jpg?w=1200&ssl=1“Mimi nikiona mtu anaajiri, ana biashara, maduka, anafuga, ana eka kadhaa analimisha, kinachokuja moyoni kwangu haraka ni KAMA HUYU AMEWEZA NA HAKUZALIWA NAVYO, YEYOTE PIA ANAWEZA KUVIPATA NA AKAMPITA. Ila watu wengi ambao AKILI ZIMEFUNGWA utawasikia wakisema, HUYU FISADI, NI FREEMASON, KAMTOA MTOTO WAKE, NI DHULUMA nakadhalika, NA KWA KUFANYA HIVI, MUNGU ANAWANYANG’ANYA WAO WASIJEKUWA NAVYO ILI WAKAPATA MAUMIVU NA UCHUNGU WA KUSEMWA NA KUTUKANWA KAMA WAO WANAVYOFANYA. Usipojifunza kuwakubali na kuwasema vizuri waliokuzidi na kukutangulia KIUCHUMI, Mungu hataruhusu uwafikie au kuwapita. APENDAYE MAISHA NA KUWA NA SIKU NYINGI NA AUZUIE ULIMI WAKE USINENE HILA”

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »