Kuokoka ni Mtaji wa Kwenda Mbinguni


MAISHA MATAKATIFU Ni HATUA YA KUZALISHA MTAJI SOKONI,
KUINGIA MBINGUNI Ni MATOKEO [FAIDA] YA UZALISHAJI WA MTAJI [WOKOVU]!
Si Kila Mwenye MTAJI Atapata FAIDA Kwenye Biashara, Inategemea Umahiri Wake Kwenye UZALISHAJI MTAJI.
KUOKOKA NI MWANZO, UTAKATIFU NI MCHAKATO WA KUUISHI HUO WOKOVU [Asili Mpya Ya Mungu Ndani Yako] Kwa Msaada Wa ROHO MTAKATIFU [Kama Mkaguzi] Ili Mwisho Wa Siku Upate FAIDA [Uione Mbingu]!
Wewe Ringa Na Mtaji, Acha Kuuzalisha Halafu Tuone Kama Utapata Faida… KUOKOKA TU HAKUTOSHI, LABDA UOKOKE KISHA UFE HAPOHAPO!
Ila USIPOKUFA MARA TU BAADA YA KUOKOKA, Una Kazi Kubwa Ya KUZAA MATUNDA YAPASAYO TOBA Na KILA TAWI LISILOZAA LITAKATWA NA KUTUPWA MOTONI BILA KUJALI KWAMBA LILIWAHI KUWA SEHEMU YA MZABIBU UITWAO YESU!
We Ng’aa Macho Tu Halafu Tukifika Kule Juu Utakumbuka Ujumbe Huu; WOKOVU NI MATENDO, NI KUWA NURU NA CHUMVI, BILA KUJALI KUNA ANAYEKUONA, ANAYEKUJUA AU LA!
#ROHO_ANENA_WAZIWAZI
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SEX BEFORE MARRIAGE

#TENDO LA NDOA KABLA YA #NDOA Luka 16:10 [10]Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo

Read More »