Neno la Mungu Halipo kwa ajili ya Majaribio

Neno la Mungu

Kwenye FALSAFA Za Maisha Wanasema, “UKIJARIBU KUFANYA JAMBO LOLOTE UNAKUWA NA NAFASI YA KUPATA MOJA KATI YA MATOKEO MAWILI; Kufanikiwa Au Kushindwa. NA KAMA USIPOJARIBU UNAKUWA NA MATOKEO YA AINA MOJA TU; Kushindwa”
Kwenye NENO LA MUNGU Hiyo Kanuni HAIFANYI KAZI; Ime-prove failure… “UKIJARIBU KUTENDA KILE AMBACHO NENO LA MUNGU LINASEMA, NI SAWA NA KUTOTENDA KABISA, UTAPATA MATOKEO YA AINA MOJA TU; Kushindwa”
KWANINI?
NENO LA MUNGU HALIPO KWA AJILI YA MAJARIBIO… LIPO KWA AJILI YA UTENDAJI… WANAOJARIBU KUFANYA, SIKU ZOTE HAWATAPATA, MAANA HAWANA IMANI YA 100% Kwenye Kile Wanachofanya… Maana HAWATENDI Bali WANAJARIBU!
Je Hiki Ni Chakula Kigumu?

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »