“Jua na kuelewa nafasi yako uliyopata katika Ufalme wa Mungu, kama Uzao mteule, Mtu wa Milki ya Mungu na Kuhani na Mfalme chini ya Mfalme wa Wafalme, Mtu wa nyumbani kwa Mungu, Uliyehamishwa toka gizani na kuingizwa katika Ufalme wa Mwana mpenzi wa Mungu HALAFU Shetani na Kila nguvu yake ya giza haitakusogelea maana wewe ni NURU NA UKO SERIKALI TOFAUTI NA YAKE, Hawezi kukufanya chochote mpaka wewe UMPE NAFASI kwa kupitia mlango wa dhambi au KUKOSA MAARIFA”
Maandiko ya kujisomea:
1Petro 2:9-10, Wakolosai 1:13, Ufunuo 5:8-9, Waefeso 2:19.
Mafundisho
WAZEE WA MKEKA/KUBETI MPOO!!
USHUHUDA: AFUNGULIWA TOKA TABIA SUGU YA KUCHEZA KAMARI, MAARUFU KAMA KU-BET AU KUTANDIKA MIKEKA! Ngoja nikupe mchongo wa kukutoa jumla kwenye huu MSALA. Huu