“Kama unaamini jina lako limeandikwa kwenye kitabu cha uzima, na haujawahi kufika mbinguni na kukagua lipo au halipo, UMEAMINI KWA NENO LA MUNGU, Kwanini usiamini kwenye AFYA YA KIUNGU (kutougua kamwe, kwa sababu uliponywa tangu Kalvari, miaka zaidi ya 2000 iliyopita, 1Petro 2:24, Isaya 35:8-10) Maana hiyo inaweza kupimwa hapa hapa duniani… KAMA NENO LINASEMA TULISHAPONYWA, UNAKUBALIJE KUKAA NA MAGONJWA? HUAMINI YA KUWA YESU ALIKOMESHA UTAWALA WA MAGONJWA KAMA ALIVYOKOMESHA UTAWALA WA DHAMBI? Nikuache UTAFAKARI…”
Mafundisho
KUUSHINDA UDANGANYIFU WA SHETANI KWA KWELI YA KRISTO NDANI YETU
(Soma vizuri sana ujumbe huu,utapata KWELI ya Kristo YESU ndani yako) 1.UDANGAYIFU (HILA ZA SHETANI) KUPITIA TEKNOLOJIA na MAMBO YA DUNIA HII. Na hapa Inahusisha