HEKIMA KUHUSU PESA

 

Mambo ya kuepuka

http://www.dignited.com/wp-content/uploads/2015/10/3824486278_7df8d71fe3_b-1024×679.jpg
1. Kufanya biashara na mtu ambaye hatoi zaka.
“Kama anamuibia Mungu nina uhakika kuniibia mimi ni kitendo cha kugusa tu… Lakini pia mkono wa Mungu hauko juu yake, siwezi kupoteza pesa yangu mahali ambako najua Mungu hataweka mkono wake kuizidisha”

2. Kumkopesha PESA mtu ambaye “ANACHEZEA MUDA” au ambaye hajali muda!
“Asiyejali muda hajali pesa pia… Pesa inapenda kukaa kwenye mikono ya wanaotunza muda kuliko pesa…. Pesa hufuata mifuko ya akili iliyofuzu kutunza muda… Mtu ambaye hana matumizi yanayoeleweka ya muda, na asiye na ratiba ambazo haziingiliwi au kuvurugwa kirahisi, usimkopeshe pesa, tayari umeshaona wazi uwezo wake wa kujali vitu vya muhimu na bora kama muda ni sifuri”
Hekima kwa ajili ya kutunza pesa (sehemu ya kwanza)!
Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »