MHUBIRI WA INJILI USIIGIZE MAISHA (DON’T LIVE A SUPERFICIAL LIFE)- 02
USIIGIZE WALA USIWADANGANYE WATU KWAMBA UNA UWEZO MKUBWA WA KIFEDHA/ UMEBARIKIWA MALI NA VITU ILHALI UNAWAPIGA MIZINGA NA VIBOMU KUPITIA MBEGU NA SADAKA ZA AJABU
USIIGIZE WALA USIWADANGANYE WATU KWAMBA UNA UWEZO MKUBWA WA KIFEDHA/ UMEBARIKIWA MALI NA VITU ILHALI UNAWAPIGA MIZINGA NA VIBOMU KUPITIA MBEGU NA SADAKA ZA AJABU
“MAJANGA KANISANI NA KUJISAHAU YA KWAMBA YESU ANAWEZA KURUDI SIKU YOYOTE NA MUDA WOWOTE NA CHANGAMOTO YA KUKUMBATIA UDHEHEBU NA UDINI HUKU KIROHO CHAKO KIMEKUFA”
“I like your Christ, but not your Christianity.” – Gandhi Christ vs Christianity
Hivi karibuni nimesoma kitabu chenye jina ‘Prayer made practical’ kilichoandikwa na Fredrick Pelser. Miongoni mwa mengi niliyojifunza kupitia kwa mwandishi huyo ni kutafakari ukuu wa
Sehemu ipi kwa mwanadamu ambayo ikihusishwa tu inaleta mabadiliko kwenye Maisha yake jumla ; mabadiliko kwenye tabia , ndoa, uchumi , kutoka dhambini Kwa utafiki
Kwa mujibu wa kitabu cha #Wakolosai 2:14-15 [14]akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwepo tena, akaigongomea
“Ukikosa Mbinguni Hautakosa Kuzimu” (Ufunuo 20:15) “Kama Hauishi Maisha Ya Utakaso, Umechagua Ya Dhambi” (Ufunuo 22:11-16) “Kama Haujilindi Na Dhambi Ni Wazi Hujazaliwa
1. HAUWEZI KUWA NA FEDHA ZAIDI YA KIWANGO CHAKO CHA KUGUSA MAISHA YA WENGINE. LUKA 6:38 “Kila mtu aliyeokoka au mpagani, ana kiwango cha pesa
NGUVU YA KUCHUKUA HATUA (THE POWER OF TAKING A STEP). Maandiko: “Wakati HATUA ZANGU zilipokuwa zikioshwa kwa siagi, Nalo jabali lilipomimina mito ya maziwa” (Ayubu
“NAMNA YA KUISHI NJE YA UKANDA WA IBILISI (LIVING BEYOND DEVILS REACH)” Utangulizi Ninasikia kuhusu maombi ya vita. Ni maombi maarufu ya kupigana na Ibilisi
KUSUDIA/ DHAMIRIA/ AMUA KUMPENDEZA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO YOTE UWAPO DUNIANI. Utangulizi Katika Biblia kuna watu ambao Mungu anasema WALIUPENDEZA MOYO WAKE! Tuwaone baadhi yao
NGUVU ZA KUKABILI HALI ZA KIFO (POWER TO HANDLE DEADLY SITUATIONS). Utangulizi; Kwenye maisha kuna hali ambazo zimekaa kama kifo, au ukizubaa zinaweza kupelekea kifo
NGUVU YA KUKABILI HABARI MBAYA (THE POWER TO WITHSTAND BAD REPORTS). Maandiko: “Watu waliposikia HABARI HIZO MBAYA wakaomboleza wala hapana mtu aliyevaa vyombo vyake vya
NGUVU ZA MUNGU Zaburi 105:4 “Mtakeni Bwana na NGUVU ZAKE; utafuteni uso wake siku zote” Kwenye andiko hili la msingi tunayaona mambo kadhaa; 1. Kuna
KANUNI YA PILI: KANUNI YA WATU (THE PRINCIPLE OF PEOPLE). Ut Utangulizi Maisha ni watu na watu ni maisha! Ili Mungu ayastawishe maisha ya mtu
KANUNI YA MUDA/WAKATI (THE PRINCIPLE OF TIME). Utangulizi. Maisha ni muda, na muda ni maisha! Hakuna maisha bila muda, maisha ya mtu au kitu yamefungwa
NGUVU YA KUANZA MAMBO MAPYA (THE POWER TO START NEW CHAPTERS). Maandiko: “Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing’aayo ikizidi kung’aa hata mchana
UHUSIANO BINAFSI NA MUNGU Utangulizi Bwana Yesu alisema ya kuwa pasipo Yeye, sisi HATUWEZI JAMBO LOLOTE (Yohana 15:5). Kuzaa kwetu na kuwa na mafanikio kama
KUSUDIA/ DHAMIRIA/ AMUA KUMPENDEZA MUNGU MIEZI SITA IJAYO NA MAISHA YAKO YOTE UWAPO DUNIANI. Utangulizi Katika Biblia kuna watu ambao Mungu anasema WALIUPENDEZA MOYO WAKE!
UISHI NJE YA UKANDA WA IBILISI (LIVING BEYOND DEVILS REACH) Utangulizi Ninasikia kuhusu maombi ya vita. Ni maombi maarufu ya kupigana na Ibilisi na majeshi
ULINZI WA MUNGU KWENYE KILA ENEO LA MAISHA YETU KWA MIEZI SITA HII YA MWISHO NA MAISHA YETU YOTE TUWAPO DUNIANI Utangulizi Mungu anapenda tuwe