Karibu tovuti yetu

Yesu ni Bwana

Kwenye Tovuti hii utajifunza mambo mbali mbali ya Kikristo yatakayo kusaidia kukua ki Imani,Kiroho na kimwili. Nina ahidi utobaki kama ulivyo,Ufanye wakati huu uwe wa Mabadiliko ya kweli.Asante kwa kutuamini na kuzidi kuwa nasi.

Kuhusu Yesu ni Bwana

Dickson Cornel Kabigumila ni mwalimu wa Neno la Mungu. Amekuwa akifundisha katika mashule, vyuo, makanisa na fellowship za Kikristo.

Amekuwa akifundisha katika ibada, semina na makongamano mbalimbali ya kiroho kwa takribani miaka 8 sasa.

Alimpokea Yesu kama Bwana na mwokozi binafsi wa maisha yake mwaka 2003 na kujazwa na kubatizwa kwa Roho Mtakatifu na kwa nguvu sawa na isemavyo Matendo ya Mitume 10:38.

Mada muhimu

Hapa utajifunza mada muhimu zote zitakazokufanya wewe kukua katika mazingira ya shuleni,chuo, kazini na hata kwenye mahusiano  ya Ndoa kati yako na mwenzi wako.

Mafundisho yetu

Lengo kuu la Yesu ni Bwana ni kuwa na mafundisho muhimu ya kikristo yatakayokufanya kuwa kama kusudi la Mungu alivyokukusudia wewe uwe..

ADUI ANAFANYAJE KAZI?

ADUI ANAFANYAJE KAZI? 2 Samweli 17 1 Zaidi ya hayo Ahithofeli akamwambia Absalomu, Niache nichague watu kumi na mbili elfu, nami nitaondoka na kumfuatia Daudi

Read More »
Kwa sasa

Mafundisho Mapya

ADUI ANAFANYAJE KAZI?

ADUI ANAFANYAJE KAZI? 2 Samweli 17 1 Zaidi ya hayo Ahithofeli akamwambia Absalomu, Niache nichague watu kumi na mbili elfu, nami nitaondoka na kumfuatia Daudi

956

Mafundisho yaliyomo

26

Shuhuda zilizotolewa

3,000

Wasomaji wafutiliaji

8

Miaka kwenye huduma