MAMBO KADHAA NILIYOJIFUNZA KWENYE MIAKA MITATU YA KUWA MCHUNGAJI!
MAMBO KADHAA NILIYOJIFUNZA KWENYE MIAKA MITATU YA KUWA MCHUNGAJI!Bwana Yesu Asifiwe sana!Nina kila sababu ya kumpa Bwana Yesu UTUKUFU na kumshukuru kwa wingi wa neema
MAMBO KADHAA NILIYOJIFUNZA KWENYE MIAKA MITATU YA KUWA MCHUNGAJI!Bwana Yesu Asifiwe sana!Nina kila sababu ya kumpa Bwana Yesu UTUKUFU na kumshukuru kwa wingi wa neema
MTU HAWI WA NAMNA FULANI SIKU AKIKALIA KITI CHA UTAWALA AU AKIKAA KWENYE NAFASI FULANI, HAPANA! ANAKUWA MTU WA AINA FULANI SIKU AKIFANIKIWA KUWA HIVYO
Huwa ninajiuliza NGUVU YA MCHUNGAJI MMOJA TU ALIYEPATA NEEMA YA KUANDALIWA NA MUNGU NA MIKONO YA WATU SAHIHI… Huwa nachukulia mfano mmoja tu dhaifu wa
ADUI ANAFANYAJE KAZI? 2 Samweli 17 1 Zaidi ya hayo Ahithofeli akamwambia Absalomu, Niache nichague watu kumi na mbili elfu, nami nitaondoka na kumfuatia Daudi
MAENEO MATANO YA KUJIJENGA KABLA YA KUFIKISHA MIAKA 25 LAKINI UNAWEZA KUYAJENGA HATA KAMA UNA MIAKA 50 TAYARI Bishop Dickson Cornel Kabigumila 18.04.2023 1. ENEO
VIJANA WENZANGU KWENYE HUDUMA NI NANI ALIYEKUTENGENEZA ILI UONGOZE/ UTAWALE/ UWE NA MATOKEO KWENYE ENEO LAKO? ANDIKO NANGA Kutoka 2:14 [14]Yule akasema, Ni nani aliyekuweka
“Kujeruhiwa kusikugeuze kuwa kiumbe tofauti na wewe! KONDOO akijeruhiwa na mnyama mkali au nyoka machungani, huwa hageuki hayawani au nyoka pia, anabaki kuwa KONDOO ALIYEJERUHIWA…
“When you hold A BIG TREE in order to SHAKE IT, before you realize it, You are the one SHAKING… Am grounded for more than
ASSEMBLY OF BELIEVERS CHURCH UBUNGO MSEWE.SUNDAY SCHOOL SERVICEWHY IS IT IMPORTANT TO GROW SPIRITUALLY?Min: Pastor Jordan YusuphSun 28th April 2024. Anchor scripture;1 Corinthians 13:11When I
“NJIA ZA MKATO ZA MAFANIKIO ZIPO KWENYE MAISHA, LAKINI ZIMEJAA VITA, NI WALE TU AMBAO TUKO TAYARI KUPAMBANA, KUFANYA VURUGU, KUSHINDANA, KUPIGANA, KUTOJIHURUMIA, KUJIHATARISHA NA
“IPI NJIA RAHISI YA KUTOKOMEZA UMASIKINI AU KUKWAMUA WATU KWENYE UMASIKINI?” JIBU LANGU “Njia rahisi ya kukwamua watu kwenye UMASIKINI ni WEWE MWENYEWE KUTOKUWA MASIKINI
UNAJUAJE UNA KESHO KUBWA? 1. Unapoamua kwa dhati kuishi maisha matakatifu mbali na dhambi hasa DHAMBI ZA ZINAA NA UASHERATI Watu wote wakuu wameshinda uchafu
HAKUNA ASIYE NA UWEZO NDANI YAKE KISA CHA MWAMUZI GIDEONI, WAAMUZI 6:10-15 1. Tatizo ni kuaminishwa kwamba uwezo wa kugeuza maisha yetu unatokea nje yetu
DUI ASIYEKUJUA HAWEZI KUKUSHINDA 1. Askari maelfu wa Kifilisti hawakuweza kumkamata wala kumdhuru Samsoni, isipokuwa Delila mwenye siri zake 2. Askari mamia wa Kirumi hawakuweza
Andiko la msingi:Danieli 6:10“Hata Danielii, alipojua ya kuwa yale maandiko yamekwisha kutiwa sahihi, akaingia nyumbani mwake, (na madirisha katika chumba chake yalikuwa yamefunguliwa kukabili Yerusalemu;)
KANUNI 10 ZA USTAWI KWENYE MAISHA NA PASTOR DICKSON KABIGUMILA 1. Huwezi kustawi kwenye lolote bila kulianza/ kupanda mbegu/ kuchukua hatua (Mwanzo 26:12-14) 2. Huwezi
MANTLE AND TRANSFER(VYA KIUNGU NA USAMBAAJI WAKE) Pichani ni Apostle Johnson Suleman na mimi Bishop Dickson Cornel Kabigumila JAMBO LA KWANZA•Kuna muunganiko kati yetu kwa
MANTLES AND TRANSFER(VYA KIUNGU NA KUSAMBAA/ KUHAMISHIKA KWAKE) Pichani ni Apostle Joshua Selman Nimnak na Bishop Dickson Cornel Kabigumila Apostle Joshua Selman ni picha ya
“Hakuna UKUU kwa ajili ya maonyesho au kwa ajili ya sifa binafsi! Mungu anapoamua kumfanya mtu kuwa MTU MKUU ni kwa sababu KUNA KILIO CHA
NDOO YENYE MATUNDU HAIJAZI MAJI!! (USHUHUDA WANGU UTAKAO KUJENGA) Nakumbuka nilivutwa kwenda kushuhudia nyumba moja wapo iliyokuwa jirani na nyumbani,kulikuwa na mgonjwa hatembei ni wa
IBADA KUU YA JUMAPILI ABC GLOBAL KINZUDI HQ. MWAKA 2024:MWAKA WA MAMBO MAKUU YASIYOCHUNGUZIKA WALA KUTAMBULIKANA NA MAAJABU YASIYOHESABIKA. SOMO: FUMBO LIITWALO WATU (The mystery